Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wazazi wangu hawataki nioe mchagaa wakati ndo nampenda,wanataka nioe tofauti na mchagaa (mmarangu)wakati nampenda sana huyu msichana kwani anasifa zote za kuwa mke.Na ukizingatia umri wangu wa...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Matumaini yangu mko pouwaaa, na maandalizi ya sikukuu zilizo mbele yetu. Mimi ni kijana wa kiume miaka 27, Elimu diploma. Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa. Ni Mkristo RC Natafuta mpenzi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nipo Singida nimeajiriwa umri wangu 25yrs natafuta mchumba awe na umri wa 23 awe kazi inayomuingizia kipato nicheki kupitia 0745645518.
0 Reactions
2 Replies
780 Views
I was joking!!!!!!!!!!!!!!! :target::sorry: :hurt: :wave:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kuoa. Akipatikana ndoa haraka. Awe msomi kuanzia degree. Kipato kinachijitosheleza. Awe na upendo. Umri kuanzia miaka 29 Mkristu au awe tayari kujadili dini. I'm Umri wangu nini...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Maana herb clinic zimekuwa nyingi kitaaaa mpaka sielewi naskia wanatibu kabisa sio za kuongeza hapohapo kama viagra... Na kwann hii biashara imekuwa kubwa ivi
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya Dada zetu hupenda sana chips mayai, chipsi kuku Imefikia wakati wako radhi kula chakula icho hata Mara tatu kwa siku na hata mwezi mzima. Hivi kuna...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 23 nilikuwa nahitaji msichana wa miaka 18-24...
2 Reactions
4 Replies
964 Views
Nashukuru nimempata mtu nilie kua namuitaji
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Mmeeeelewa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato. Aliye tayari tuwasiliane pm
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina miaka 27, nipo dar, nina bachelor degree,ni muislam Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Awe muislam Awe na umri miaka 18-30 Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe na upendo wa kweli Kwa...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Habarini za sikukuu? Mimi ni mwanaume wa Bara Umri wangu 30 yrs Ni mrefu mwembamba kiasi Mweusi kidogo Dini mkristo. Elimu darasa la saba Kazi yangu nimejiajiri na Pia nimeajiri. Nahitaji...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Si mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa katika jukwaa hili. Natafuta rafiki wa kike anayejitambua, awe matured kiakili na kimwili! napenda mtu mkweli mcha Mungu wa kweli, mwenye elimu ya kidato...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
nahitaji mwanamke mkubwa kuliko mimi umri wangu ni miaka30 natafuta mwanamke kuanzia32 alie arusha mwenye kujiweza kiuchumi tasaidiana malengo afaham kuwa nna watoto wawili lengo ni maisha awe muislam
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Hi ladies, nahitaji wife umri kati ya miaka 20-30, dini yoyote ile na kabila lolote, as long as npo JF most of my time, I hope hata wife nitapata hapa hapa JF. +255621031241
1 Reactions
1 Replies
714 Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 28,sijashindwa kumpata mke huko mitaani ila watu waliopo humu ni walewale waliomo mitaani, tena unaweza kukuta unaumiza kichwa binti unayemuona mtaani kumbe hata...
0 Reactions
6 Replies
831 Views
Hey ladies I need a woman to begin a relationship with, but she must not be dependant to me. Anybody read pm me
0 Reactions
7 Replies
996 Views
HELLO' Naanza kwa sifa, awe na umri usiozidi miaka 30, awe na umbo la kawaida tu but usiwe mnene, pia usiwe na watoto ulikwisha kuzaa.sio mweupe sana ila awe natural....uwe na kazi yoyote tu ili...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari JF Members, Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious. Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45. Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa...
12 Reactions
201 Replies
17K Views
Back
Top Bottom