Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya...
9 Reactions
248 Replies
24K Views
Hello, I'm looking for a woman who isn't all about games and at-least has something going for herself. Someone who is respectful, has morals and values, someone that just basically is...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara. Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na...
11 Reactions
175 Replies
20K Views
Ni matumaini yangu kila mtu yuko poa. Baada ya kukaa nikatafakari sana nimeona maisha ndo haya haya, wakati ndo huu. Hakuna sababu ya kusubiri sana. Mimi ni kijana miaka 27. Nina shahada ya...
1 Reactions
74 Replies
6K Views
Habarini zenu wana JF, Kwa jina naitwa Langston, nimejitokeza hapa kwa lengo moja tu kubwa la kutafuta ubavu wangu, mi ni mwajiriwa naishi Dar maeneo ya Tabata, umri wangu ni 24 ni mweusi na...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Heri ya mwaka mpya ndg zangu.!Mimi naitaji rafiki au marafiki wa kushare ideas tofauti za kimaisha.for nina elimu ya chuo kikuu na pia ni muajiriwa ktk taasisi ya kifedha (bank).napenda kuwa na...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 nahitaji mwanaume wa kuishi nae mimi, nipo serious, maelezo zaidi ni pm tuzungumze kuhusu dini, na kazi na ninapoishi, kejeli pembeni.
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Sifa zangu: RANGI=>maji ya kunde MIAKA=>21Years KAZI=>Miner DINI=>Musilm Sifa za anaehitajika: RANGI~Awe mweupe,maji ya kunde au softblack sio darkblack MIAKA~25kurudi nyuma KAZI~Awe mchakarikaji...
1 Reactions
0 Replies
906 Views
Awe na umri 22 -30 mi ninamiaka 35. Tafadhali alitayari aje PM tuongee vizuri.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hadi leo hii bado kutokana na sababu mbalimbali na mojawapo ni kutokuwa serious kwa baadhi ya wahusika, nina miaka 30 na ni vyema zaidi mtarajiwa aka chini ya hapo. Aliyeko tayari karibu PM...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,natafuta mpenzi/mchumba wa kuoa,umri kuanzia 18_27,mimi niko morogoro. Unaweza nitafuta moja kwa moja kupitia namba 0629160442. Karibuni akina dada wenye...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari, Mimi ni kijana wa Kitanzania Government Servant, ninahitani mwanamke umri 23-30 HIV Negative, Superstitious Negative nikipata mnene mwenye mwili itakuwa safi, kwa aliyetayari.
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Awe mweupe au maji ya kunde mrefu alie ajiriwa au mfanya biashara umri 30 kuendelea awe mcha mungu mkristu
17 Reactions
192 Replies
25K Views
Salaam wana jamii; Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na "threads" nyingi zenye MSG ... NATAFUTA MCHUMBA ama NATAFUTA MUME ....... Shida yangu si hilo hitaji bali TERMS and CONDITIONS...
3 Reactions
86 Replies
6K Views
Iam looking for a female friend who have a positive attitude, courage and self determination. should not exceed 30 years with any belief (christian or muslim). anybody who is ready can send a...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya wana JF, Leo nimekuja hapa natafuta mchumba/mke wa kuoa na tujenge familia mimi nina miaka 30 ninaishi Moshi Kilimanjaro, naomba ambaye yuko tiyari anicheck pm au kwa namba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Abari zenu bandugu... heri ya mwaka mpya kwenu woote. Nilipenda kuwashirikisha haya labda naweza nikabahati. Namtafuta mwanamke yeyote ambae labda kachelewa kuolewa ao aliwai kuolewa akaachika...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato. Aliye tayari tuwasiliane pm
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu Natafuta mke Umri awe na miaka 25 kuendelea. Elimu diploma na kuendelea. Umri miaka 38. Nimeajiliwa serikalini. Wewe dada unayejiona unaweza kuisha na mwanauame kwa upendo na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Seriously kwa aliye tayari ani pm. Natafuta mchumba, sifa ni kama zifuatazo; . Awe binti asiyezidi miaka 28 . Mrefu kiasi . Mwembamba si lazima sana ili hata akija nenepa asiwe tinginya . Elimu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom