Wanabodi kheri ya mwaka Mpya 2017!!!!! Napenda kuwatangazia kuwa mwaka huu mungu akinijalia nitatoka katika maisha ya useja na kuanza maisha ya ndoa ila Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu kwenu kuwa natafuta mchumba wa kike.
Sifa zangu
a/ Mrefu
b/ Maji ya kunde
c/ 32 years hold
d/ Mwajiriwa & mjasiriamali
e/ Elimu M.A
f/ Christian
g/ Sina Mtoto
Sifa za msichana
- Asiwe mfupi
- Asiwe Bonge
- Asiwe na Mtoto
-Asiwe goalkeeper
-Awe Christian
- Elimu : Bachelor holder & above
- Umri 25-31
Kama kuna msichana ambaye yupo siriasi na anautayari wa kuolewa njoo PM kwa further conversion
Nawatakia sikukuu njema na mungu awabariki sana
Sifa zangu
a/ Mrefu
b/ Maji ya kunde
c/ 32 years hold
d/ Mwajiriwa & mjasiriamali
e/ Elimu M.A
f/ Christian
g/ Sina Mtoto
Sifa za msichana
- Asiwe mfupi
- Asiwe Bonge
- Asiwe na Mtoto
-Asiwe goalkeeper
-Awe Christian
- Elimu : Bachelor holder & above
- Umri 25-31
Kama kuna msichana ambaye yupo siriasi na anautayari wa kuolewa njoo PM kwa further conversion
Nawatakia sikukuu njema na mungu awabariki sana