Natafuta rafiki wa kike

LAPTOP2016

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
728
2,140
Hi wana jamii,

Mimi ni kijana niliyejiajiri, elimu yangu chuo kikuu, mkristo, umri wangu miaka 27. Natafuta rafiki wa kike aliye Moshi/Arusha umri 18 - 24, dini yeyote, ila awe mchangamfu. Awe tayari kupima VVU. Awe anajitegemea, akiwa ameajiriwa itakua vizuri zaidi, kama ana mpenzi basi awe ni long distance love. Awe muelewa asiwe mtu wa kukasirika bila sababu za msingi.
Aina ya urafiki: Utakuwa urafiki wa kushauriana mambo mbalimbali ya kimaisha, kutoka out weekend baadhi, kusaidiana wakati wa shida na raha, kutembeleana. Nitajitahidi kumfanya kuwa na furaha hasa atakapokuwa na matatizo.

NB: Nina mpenzi wangu ila mara nyingi nakuwa mbali naye kutokana na aina za kazi zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom