Natafuta mpenzi wa kuanza nae maisha

The End..

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
4,357
3,831
Mimi ni kijana wa miaka 25, sina kazi wala sina kibarua, elimu yangu ni degree ni mwalimu wa arts ila serikali imekataa kuniajiri ni mfupi kupitiliza na mweusi tena mweusi kweli kweli. Nahitaji mrembo aliye tayari tuanze mahusiano na baadae awe mama watoto wangu.

Karibuni!
 
Mkuu usijali km wewe ni mweusi, mi ni Albino so tunaweza tukatengeneza ZEBRA CROSSING (black & white) wanafunzi wakawa wanavuka barabara vyema....Tuyajenge Tafadhali... Zebra crossing kwa uvukaji salama wa barabara
2d670ea6b86377890023ab0ae9761634.jpg
130190d16425650e02d3e020a6e5ccfd.jpg
 
Pita ivi ..... Mwanaume huna hata sifa moja ya mvuto , ela huna, mtu mwenyewe mkaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom