Natafuta mchumba, awe maeneo ya Shinyanga au Singida!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
746
635
Wadau
Nahitaji mchumba wa kike aliyetayari kuishi maisha ya ndoa mida mfupi baada ya kujuana (angalau miezi miwili ya kujuana). kikubwa awe na maadili ya kiislamu, umri angalau isizidi miaka 24.

Nitafuata taratibu zote za kimila au za dini ikiwa na kupeleka posa bila kukawia. Kama yupo mwenye uhitaji kama huu. karibu in-,box kwa mawasiliano zaidi!.

NB: Uzi hui ni kwa walio serious tu.
 
Mkuu mimi ni mnyaturu Nina Dada zangu Nataka nikuzawadie mmoja. Ila ni wakristo..Kuhusu kubadili dini Hilo sio tatizo mtaelewana.. Kama kweli na wewe upo serious ni pm nikuunganishe na ndugu yangu.. Hutajuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom