Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28. Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
1 Reactions
64 Replies
11K Views
Back
Top Bottom