Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Tunamshukuru MUNGU,
1 Reactions
5 Replies
994 Views
Mimi ni mwanaume umri 35, natafuta rafiki wa kike ambae ni mpweke anyeishi Arusha kwa ajili ya kuchat na kubadilishana mawazo...awe na umri wakuanzia miaka 20 hadi 30...Kwa alitayari afadhali...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mgeni sana katika mtandao huu maarufu, nimejitokeza leo nami nitupe huku karata yangu kutafuta mke wa kuoa, na hii ni baada ya kuona jamaa zangu kama watatu wamefanikiwa kupitia JF, umri...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
kwa jina naitwa malamia kabila langu mchaga umri wangu miaka 35 mchapakazi sana elimu ya chuo sijawai kuolewa sijawai kuzaa naishi dodoma ila mwakani nitahamia dsm nimeajiriwa dini mkristo...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
naitaji mwanaume wa kuanzisha familia kama nilivosema miaka yangu ni 35 elimu chuo kikuu dini mkiristo . mume nimtakae awe mtu mzima kama miaka 40 na kuendelea dini yoyote mawasiliano...
5 Reactions
119 Replies
11K Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakati mwingine siyo lazima wote tuchangie kila mada. Unakuta mada ya mwanaume anatafuta mpenzi/ mchumba au mwanamke anatafuta mchumba na katika bandiko lake ameweka umri na vigezo. Wewe unajijua...
6 Reactions
0 Replies
609 Views
Am a girl..Nipo dar na Natamani kwenda beach kesho..anaehitaji let's go and have fun Awe cool na mstaarabu Cost ni juu yako Swry!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28, awe na shughuli inayomwingizia kipato. Aliye tayari tuwasiliane pm.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi members? Right about me..Well I'm a guy who would like to meet some nice girl to talk here a little bit and see if we have anything in common then swap numbers and talk on the phone and meet...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
This is to that man out there who is hesitant to enter into marriage because of the inability to contribute to conception. The man should be a christian and above 30 years of age, am a 26. PS: No...
0 Reactions
85 Replies
6K Views
Za leo wana JF, Natafuta mke wa kuoa ambae ni daktari, awe mkristo, umri kwangu sio kigezo, na awe mcha Mungu, umri wangu ni miaka 32 na elimu yangu ni degree holder, nipo serious mwenye nia ani PM.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mimi ni............................., miaka 29, mrefu kiasi ft 6 kasoro, mwembamba, kwa sasa nipo nasoma chuo (1 yr), Natafuta msichana mzuri aliye tayari kuanza maisha from zero to hero mrefu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29 nahitaji mwanamke wa kuanzia miaka 20-25 dini yoyote rangi yeyote awe mrefu na asiwe mwembamba Sana anipende kwa dhati. Elimu kuanzia kidato cha nne na awe WA...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mm naitwa John maiko naishi kinondoni mkwajuni mm ni maji ya kunde mrefu saiz mwembamba saiz natafuta mchumba awe mweup mwembamba saiz mrefu acwe na na mtoto wa mwenyeji Tanga Mbeya Moshi awe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo zenu GT Natafuta mchumba ikiwezekana aje kua mume. SIFA ZANGU MIAKA: 23 ELIMU: Degree RANGI: Mweusi KIMO: Mfupi DINI: Muslim NB: Sina chura nina chunusi nina maziwa makubwa...
5 Reactions
211 Replies
16K Views
Habari wakuu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nimejiajiri mwenyewe (namiliki stationery & duka la miamala ya kifedha i.e tigopesa). Natafuta mwanamke ambaye kweli yuko tayari kuanza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini, Mimi ni kijana wa kiume nipo Kanda ya ziwa (jijini) baada ya kukaa kwa muda bila mpenzi sasa nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mama watoto wangu, umri wangu ni miaka 27 elimu degree...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mambo, Natafuta mchumba baadae awe mke rasmi, elimu yangu ni shahada ya kwanza ya Siasa na Utawala (Ba.PSPA-UDSM) Kazi yangu Kwa sasa najihusisha na KILIMO. Kwa maelezo zaidi PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari za weekend? Upweke unachosha kwakweli natamani kupata mume lakini kwa kufuata kanuni za biblia. Mwenye uzoefu au mbobezi please naomba msaada. Maisha ya upweke yamenichosha sana...
6 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom