Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Naitwa: agness Naishi: tanzania Kabila: msukuma Dini: mkristo(kkkt) Umri: 31 Familia: nina mtt 1 Mazungumzo zaidi njoo inbox SIFA ZA MUME...
5 Reactions
33 Replies
7K Views
Mimi ni single mum Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
12 Reactions
162 Replies
15K Views
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, we shall...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Habari! Naitwa Mahmoudy nipo Arusha, mimi ni mtumishi wa uma na kazi nafanyia Arusha, natafuta mchumba wa kiislamu awe na sifa zifuatazo; Umri 18-22 Elimu kuanzia Form 6 na kuendelea. Asiwe...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
MIMI NI MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 43,NINA NIA THABITI YA UKWELI KABISA NATAFUTA MKE WA KUOA!AWE MTU MZIMA KUANZIA MIAKA 40 NA KUENDELEA,KIGEZO KIKUBWA AWE MKWELI NA SIO MBABAISHAJI,HAWE MWENYE...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Mimi ninae mtaka Awe muwelewa Muislam Miaka 30/37 Awe ana uelewa wa Hali ya juu computer Awe ana swali Mtoto ikiwa anae sio tatizo Awe mstarabu Awe namapenzi ya Kweli Mimi nina miaka 38...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Natafuta mke, awe mwenye hofu ya Mungu, mimi ni Mkristo kwa hiyo akiwa Mkristo sio mbaya sana na awe mwenye maono ya Kimungu zaidi. Elimu yangu ni Shahada (Degree), ni mwalimu, nina miaka 31...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mdada mwenye miaka 26, elimu diploma ni mwajiriwa,nina mtoto, Natafuta mwenza anaejitambua na mwenye huitaji wa serious relationship; -Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu...
4 Reactions
92 Replies
11K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 24, sijaoa, natafuta mpenzi niko Mbeya, awe na kazi yeyote ya kujikimu, awe mkristo wa dhehebu lolote, kabila lolote, umri wa chini yangu. Mungu akijaalia tuanzishe...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu...
13 Reactions
99 Replies
11K Views
Mwanzo 2:18 'Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye'. Habarini za Leo wanafamilia wenzangu wa JF. Nimeanza kwa nukuu hiyo kutoka katika kitabu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Asanteni sana wadada wote mlionesha nia ya kuwa na mm pm tokea jana, ila nadhani moyo wangu umeamua na umemdondokea mtoto mzuri mwenye jina la ua, asante uwaridi langu wa moyo, nadhani we can take...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari wana MMU bila shaka mmesherekea sikukuu ya Chrismass na Mwaka mpya vizuri na kwa amani,ingawa jana kundi la Panya Road limetikisa Mji maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kama Sinza...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Mambo, mimi ni kijana wa miaka 31. Naishi dodoma. nimepanga na kuajiri. kwakweli natafuta mdada au mwanamke mwenye hela awe kama sponsor wangu katika mambo mbalimbali ila na mimi nimpe utamu...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
__________________________________________________ Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington ktk mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Awe na elimu walau kidato cha nne mm ni muajiriwa serikalini nina mtoto 1mengne tutaongea tukishawasiliana 0745645518
1 Reactions
0 Replies
979 Views
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba aliyeandaliwa kwaajili yangu. Mimi ni kijana wa miaka 26...
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Sifa za mtafutaji, Jinsia : Me Umri : 24yrs Elimu : Chuo Kazi : Nimejiajiri Dini : RC Kabila : Sukuma Mahali ninapopatikana : Kanda ya ziwa Sifa za mtafutwaji, Jinsia : Ke Umri...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Tunamshukuru MUNGU,
1 Reactions
5 Replies
994 Views
Back
Top Bottom