QeenAshley
Member
- Dec 20, 2016
- 22
- 24
Habari zenu Wana jf,
Natafuta marafiki( male and female) wa kushare nao ideas za kimaisha especially mambo ya kimaendeleo,
Mm ni msichana (25yrs)
Elimu yangu bachelor degree
Mjasiriamali
Naamin naweza kukutana na watu humu tukashare ideas and nikapata mawazo mapya ya kimaendeleo, kwa atakaependa anaweza kuni PM