Nmechoka kuishi mwenyewe

mwanaume mwenye uhitaji wa kuwa na mke naomba aje private tzungumze ili tjenge maisha,mimi n mwajiriwa serikalini sector ya afya,umri 28 karbu sana,kama hauko na malengo ya mke usjisumbue kabisa
Niko tayari,naitwa Peter kutoka kilimanjaro. Ninamiaka 31 ranging majiyakunde,Urefu sentimeter 182. Nitumie namba yako ya simu
 
Mwanaume mwenye uhitaji wa kuwa na mke naomba aje private tuzungumze ili tujenge maisha, mimi ni mwajiriwa serikalini sector ya afya, umri 28 karibu sana, kama hauko na malengo ya mke usjisumbue kabisa.
Nina mke lakini bado nafasi hipo, u aweza kujazilishia nije PM?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom