Natafuta mke atakaeikubali hali yangu

Natafuta mke atakaekubaliana na hali yangu nina shida ya nguvu za kiume na uume mdogo umri wangu miaka 48 mwenye kujali tuwasiliane kwa email hii mbilimbi4@gmail.com au PM
Maelezo yako hayajitoshelezi kupata mke, umefanya vyema kuwa muwazi ila hujatumia hekima, maana wanaweza kuja wake watakaokunyanyapaa kutokana na hali yako wewe. Utashangaa unapata mwanamke ila anangaalia na maslahi ukiwa mbahili anakunyanyapaa.

Umeandika mada yako kama hauko serious vile, kuwa makini usije kuumizwa moyo, wanawake wengi mda kama huu ni majangili katika mapenzi.

Ushauri wangu:

Kuwa na uume mdogo sio tatizo, ila tatizo ni kupungukiwa nguvu za kiume. Kwa nini usitafute wataalamu maana dawa zipo labda kama we mwenyewe unapenda ukae hivyo hivyo. Ukishapata dawa ukawa sawa tatizo liko wapi, maana wapo wanawake wenye uke mdogo pia kwa hiyo Mungu atakukutanisha nao. We vp bana...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom