Maalum kwa wote wanaotafuta wapenzi 2017

seckymose

Member
Dec 29, 2016
87
47
Hi wakuu,

Nimejisikia mzigo moyoni kuwashirikisha wale wote ambao tunatafuta wenzi wetu wa maisha ni vema tukashiriki katika semina ya MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE ya KUPANDA NA KUVUNA
Tarehe 29 january jumapili saa 8 kamili mchana DIAMOND JUBILEE HALL, ni vema tukapanda mbegu kwa Mungu wetu ili atusaidie ktk mchakato wa kupata kile mioyo yetu inatamani kupata kwani yeye ni muweza wa yote, na kwake yeye yote yanawezekana,

1. wote mliovunja mioyo, mlioachika, single mothers , wote ambao hamuoni njia ya kuwa na mahusiano chanya na wenzi wenu...................
once again ur all welcome
 
Uzuri wa mikutano hii kwanza lazima upate umtakaye, ila wapo pia waaotumia kivuli hiki kukamilisha manbo yao ya fasta fasta, pia wapo wanao tumia kivuli hiki kutokana na kukata tamaa za maisha au kupata mwenza,hivyo kivuli hiki kinakuwa ni kama final hivyo yoyote atakaye jitokeza kwende kazi haijalishi amejaa moyoni au laa,
 
mmh?
 
Back
Top Bottom