Nahitaji baba watoto

mimadota

Member
Jan 7, 2017
48
108
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
 
Hujasema kazi yako mkuu, na hujasema unajishughulisha na nini kuingiza kipato.
Ongezea hayo vijana wanakuja ila uwe makini tu waweza kutafunwa na usiolewe hapa ndo jf
 
Hii thread nyingine naiona

Ushauri ungekuwa Kimya Wee chat kawaida

Kama yupo yupo tuu

Swala la weee kufungua thread za namna hii

Sio Kitu kizur watu watakuja kunitumia kama malaya mwisho wa siku unabebeshwa Mimba zen anasepa

Unakuwa single mother

Take care
 
Mkuu huyu binti hayuko serious kabisa
 
*"Father lord, if my future wife is in JF pleaѕe direct her to мy PM now"

*Amen* J23
 
mwenye shida na mchumba huwa anajulikana na ukisoma post yake unaona kabisa anamaanisha... ila huyu manzi... anazingua tu!
 
Hii thread nyingine naiona

Ushauri ungekuwa Kimya Wee chat kawaida

Kama yupo yupo tuu

Swala la weee kufungua thread za namna hii

Sio Kitu kizur watu watakuja kunitumia kama malaya mwisho wa siku unabebeshwa Mimba zen anasepa

Unakuwa single mother

Take care
Umemshauri vizur sana sometime una akili kumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom