Moyo mpweke, natafuta binti wa kuoa

https

Member
Feb 21, 2014
93
108
Hello JF,

Mimi ni kijana wa miaka 31, nina elimu ya chuo kikuu na nimeajiriwa na kampuni moja hapa jijini Dsm.
Ni mrefu wa wastani, mnene wa wastani, rangi maji ya kunde na mkristo. Natafuta mchumba, binti anaejiheshimu na ambae yuko serious na maisha yake. Awe na sifa zifuatazo:

- Mrefu wa wastani
- Rangi ya maji ya kunde au mweupe
- Mwembamba / unene wa wastani
- Elimu ya chuo
- Umri kati ya miaka 22 - 28
- Asiwe amewahi kupata mtoto

Alie serious anitumie email kupitia devdevblack@gmail.com au ani inbox hapa jf.

Ahsante.
 
Wakuu bado sijapata
 
Una hela za kutosha?? Mbona wanasemaga wanawake tuko wengi umewakosaje uko...uku sasa mtu ata kama hajiheshim unafikr atasema!
 
Una hela za kutosha?? Mbona wanasemaga wanawake tuko wengi umewakosaje uko...uku sasa mtu ata kama hajiheshim unafikr atasema!
Kweli wanawake mko wengi, ila inapokuja swala la ndoa huwezi kuchukua yeyote tu. Lazima uangalie na tabia na sifa zingine uone kama mnaendana na unaweza tulia nae. Pesa sio tatizo
 
Nenda kanisani ukaonane na mashemasi watakuonesha mabinti uchague mwenyewe. Humu JF hakuna mabinti
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom