Tanzania Babu Akioa Binti Hawashangai Sasa Kijana Tangaza Kuoa Bibi

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Wadau nashindwa Kupata Jawabu Kama Mapenzi NI Hisia Za Mtu Binafsi Kwanini Vijana Wakianzisha Mahusiano Na Wanawake wakubwa Inakuwa Gumzo?:rolleyes::mad::mad:
Lakini Vibabu Inakuwa Kawaida Tyuu Wala hawashangai akina MZee Majuto Wanaoa Makinda Tyuu, Inaonekana Sio Tatizo Lakini Kijana Ukitangaza Nia Kwa Watu Wazima Weeeee?:D:D:D:D:D:D:D:D:DWatu Watajua Tayari Unataka Kulelewa.
Hivi Nikweli Kijana Hawezi Kumpenda Mwanamke Mtu Mzima?o_Oo_O:mad::mad::mad:
Nadhani Kama Jambo Hili Likiwa NI Kinyume Basi Inabidi Tuanze Kusema Mapenzi Ni Umri Sasa!
Na Mapenzi Ni Upofu Tuitoe Sasa Na Ndege Hutua Mti Aupendao Tuipinge Sasa
Eti Wengine Hili Mnalionajeee:oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops:o_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_O
 
Sababu bibi hawezi kuzaa
na babu ana uwezo wa kuzalisha

Full stop

Bibi anaishiwa nguvu mapema na huchoka na kupoteza hamu ..vice versa kwa babu
 
Sababu bibi hawezi kuzaa
na babu ana uwezo wa kuzalisha

Full stop

Bibi anaishiwa nguvu mapema na huchoka na kupoteza hamu ..vice versa kwa babu


Lakini Ninaamini Mapenzi Ni Zaidi Ya Kupata Mtoto Ama Watoto Na Si Ndo Zote Zenye Furaha Zina Watoto
Unaweza Ona Hata Bahati Bukuku Anadumu Na Ndoa Yake Japo Hana Mtoto
Nipe Sababu Ya Mashiko Kwakweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom