Natafuta mchumba mstaarabu na anayaejielewa ambaye baadae baaada ya kufahamiana na kujuana tabia na misimamo tukiridhiana tuoane.
Vigezo ni tabia njema, sichagui umri wala kabila wala dini, mimi niko miaka ya 30 naenda 40, hivyo kwanzia miaka 20 mpaka 40 haina tatizo.
Anayehitaji ani pm au comment tuwasiliane.