Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Hongera sana sana mh. Lukuvi njoo na Kinondoni,wananchi wana muda mrefu sana wanafutilia hati zao kila ukienda njoo kesho njoo kesho utafikiri kiwanja mmenunua shea na hao wafanya kazi. Mh...
0 Reactions
Replies
Views
Zanzibar imejitangaza na kuaminiwa na jumuiya ya kimataifa kwamba imefanikiwa kumaliza malaria, imejiweka katika nafasi ya kupigiwa mfano katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu hatari kabisa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku ITV kwa mara nyingine tena serikali imewasamehe wakwepa kodi wa makontena bandarini kwa kuwapa muda wakalipe kodi walizokwepa. Kwa mfumo huu watu hawataacha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hints watu zaidi ya 12000 waugua >maambukizi yapungua kwa desemba >wagonjwa wapya 76 >wagonjwa waliopo 115 >ushauri watolewa source...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waitara vs kunambi
0 Reactions
2 Replies
561 Views
Nitoe angalizo kwa huyu bwana mdogo kuanza mazingaumbwe ya kumchafua zitto kabwe kwa mawazo ya kummaliza kisiasa nimpe pole ameumia Pili nia yake ya kuutaka uongozi wa PAC ni sawa na maji maji...
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Wakuu Nape Moses Nnauye Si jina geni hasa kwa siasa za Tanzania kwanzia mwaka 2009 mpaka sasa hapa napoandika andiko hili Sote humu tunatambua nafasi ama wazifa alonao katika chama chake cha...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa mbali nakiona kiburi cha wanasiasa kutaka kutumia kete ya mradi huu kuzidi kujijenga kisiasa. Naamini wataalamu walishafanya tafiti zao na kutoa mapendekezo ya namna bora ya kuuendesha mradi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ni kuhusu hali ya kipindupindu hints watu zaidi ya 12000 waugua >maambukizi yapungua kwa desemba >wagonjwa wapya 76 >wagonjwa waliopo 115 >ushauri watolewa source...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amepewa siku 14 kufuta kauli yake na kuomba radhi kwa kumhusisha rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na makosa ya...
0 Reactions
77 Replies
8K Views
Nimeamka asubuhi natoka kuelekea kazini. Nimefika kituoni nikakuta daladala imesimama inapakia abiria huku ikiwa tayari imejaa, nikaitwa nipande nikakumbuka AMRI ya serikali kwamba ni marufuku...
6 Reactions
69 Replies
14K Views
wakuu watu wa kusini Mbeya,Iringa Ruvuma na Lindi na sisi ni wakati wetu wa kutoa katibu mkuu wa CHADEMA tusikubali kama hatoki kusin basi atoke Lake Zone Taarifa Akitoka kaskazini basi...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Wana Jf, nimekuwa nikjiuliza sana swali hili na kwa kweli kila nikipata jibu naona linanichanganya zaidi, natafuta lingine, bado linanichanganya kuliko la kwanza! Sasa hivi sehemu kubwa ya jamii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumeshuhudia wizara nyeti kama wizara ya elimu na fedha zikishikiliwa na mburula wakati wa awamu ya 4 tofauti na awamu ya 3 na ya 5.. Nini siri ya JK kuamua kuweka hao mburula wake hali akijua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dr. KIngwangalla, nakupa pongezi kwa spidi uliyoanza nayo kazi kama Naibu Waziri, lakini ningependa kukuuliza swali ndogo kama reality check. Juzi hapa panapo saa 1:32 asubuhi ulifunga geti...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Back
Top Bottom