Mpango kukabili riba kubwa benki. Aapa kutetea wamachinga na mama lishe

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
DSC00433.jpg
 
nadhani sio kutetea bali kuwawekea mazingira mazuri ya kufanya shughuli zao,mfano umeshasikia wale wanaotemgeneza matunda barabarani wamepigwa stop,badala ya kuwafukuza ilitakiwa wawekewe centre inayofahamika ambapo hapo ndio yale matunda yangetengenezwa vzr na kuwekwa nembo ya kudhibitisha kiwango cha usafi then waruhusiwe kuuza,sasa nambie machinga wanaouza vyakula ilala,chemba inacheua kando mama anasonga ugali,je huyu unahitaji kumtetea au kumuwekea mazingira mazuri ya biashara yake??
 
Back
Top Bottom