Sakata la Katibu Mkuu, CHADEMA tugawe zone tuanzishe vyama

G13

Member
Jun 4, 2014
19
7
wakuu watu wa kusini Mbeya,Iringa Ruvuma na Lindi na sisi ni wakati wetu wa kutoa katibu mkuu wa CHADEMA tusikubali kama hatoki kusin basi atoke Lake Zone

Taarifa

Akitoka kaskazini basi yafuatayo yafanyike
kila zone wawe kitu kimoja undeni chama chao,zone hio ni

Central zone
Lake zone
Northern zone (CHADEMA)
Southern zone

kutokana na CHADEMA kugawanyika tutapata vyama 4 Imara kila zone watakuwa wanajitegemea
asenteni
 
Nisingependa Kuingia huku lakini naomba niweke sawa, Chadema tunaongozwa na Katiba na kuna mamlaka zinashugulika na swala hili nafikiri ni vema tuachie swala hilo Mamlaka husika. Asanteni

Chadema Kwanza
 
Katibu mkuu wa cdm ni lazima atoke north...tena awe nyumbu namba moja kwa mwenyekiti...msaliti kama Slaa hakubaliki....
Chademaaaa.....mabadilikooooo
 
Nisingependa Kuingia huku lakini naomba niweke sawa, Chadema tunaongozwa na Katiba na kuna mamlaka zinashugulika na swala hili nafikiri ni vema tuachie swala hilo Mamlaka husika. Asanteni

Chadema Kwanza

mamlaka ambazo zimeshanunuliwa...chama kimepoteza mwelekeo..
 
Mimi nljua jamii forum imetekwa na ccm kipindi cha uchaguzi tu....KUMBE IMENUNULIWA KIMOJA.....kweli pesa mwana wa haramu
 
Nisingependa Kuingia huku lakini naomba niweke sawa, Chadema tunaongozwa na Katiba na kuna mamlaka zinashugulika na swala hili nafikiri ni vema tuachie swala hilo Mamlaka husika. Asanteni

Chadema Kwanza
Kutaja katiba ya chadema umenikumbusha katiba iliyokarabatiwa kumbakisha mbowe kwenye kiti.
 
acha ubabaishaji, katiba gani unaongelea wakati katibu wa chama huteuliwa kwa mapenzi ya mwenyekiti tu? anaweza kumteua hata mke wake akitaka. hoja yako ya ovyo kweli.

Nisingependa Kuingia huku lakini naomba niweke sawa, Chadema tunaongozwa na Katiba na kuna mamlaka zinashugulika na swala hili nafikiri ni vema tuachie swala hilo Mamlaka husika. Asanteni

Chadema Kwanza
 
wakuu watu wa kusini Mbeya,Iringa Ruvuma na Lindi na sisi ni wakati wetu wa kutoa katibu mkuu wa CHADEMA tusikubali kama hatoki kusin basi atoke Lake Zone

Taarifa

Akitoka kaskazini basi yafuatayo yafanyike
kila zone wawe kitu kimoja undeni chama chao,zone hio ni

Central zone
Lake zone
Northern zone (CHADEMA)
Southern zone

kutokana na CHADEMA kugawanyika tutapata vyama 4 Imara kila zone watakuwa wanajitegemea
asenteni
Na ccm kitakuwa chama cha zone ipi!?
 
Back
Top Bottom