Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Wakuu
Nape Moses Nnauye
Si jina geni hasa kwa siasa za Tanzania kwanzia mwaka 2009 mpaka sasa hapa napoandika andiko hili
Sote humu tunatambua nafasi ama wazifa alonao katika chama chake cha Mapinduzi (ya dhulma na haki)
Nape ni Waziri ila vile vile ni Mwenezi na kama ilivyo mazoea yake yeye amekua akipenda sana kuwananga wapinzania wa CCM muda mwingi wa maisha yake
Na hata alivyokua katika kampeni jimbo la masasi mjini alitumia nafasi yake kama mr. Propaganda kuwashawishi wananchi wa masasi wasimchague Kundambanda kwani kwa kufanya hivyo watakua ni kama wanapoteza tu kwani ahadi za kundambanda zitaishia kwenye kampeni na hatozipeleka popote akasikilizwa
Akanikumbusha kule same Mgombea mwenza alisema wakichagua wapinzania hawatofunguliwa mlango wa IKULU
Niachane na Mwenza leo nipo na Mh Waziri Nape.
Akiwa bado huko kusini na PM alikua akitumia nafasi yake kama mwenezi kuwananga wapinzani sasa mi najiuliza hivi huyu nape Anamapenzi makubwa na wananchi au na Chama
Vipi ataweza kutumikia MABWANA wawili??
Mi rai yangu Nape ajitathmini kama bado Anafaa kuwa mwenezi wa chama
Au anafaa kuwa Waziri wa Michezo!
Na nnasema haya huko baadae asije kuyakoroga zaidi.