Haya ni yaleyale ya Kina Zombe, nilikuwa nafuatilia sana Kesi yao mpaka hukumu, lakini Jaji alishindwa kuwatia hatiani kwani alisema mtu ambaye atiwapiga Risasi wafanyabiashara wale wa Madini wa Morogoro hakuwepo, yaani ndiyo yule aliyekimbia.
Kwa kesi hii mpya, ninachokiona ni kilekile tu labda miujiza mingine itokee huyo aliyesepa akamatwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.