montroll
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 319
- 126
Wana Jf, nimekuwa nikjiuliza sana swali hili na kwa kweli kila nikipata jibu naona linanichanganya zaidi, natafuta lingine, bado linanichanganya kuliko la kwanza!
Sasa hivi sehemu kubwa ya jamii ya waelewa na wenye fikra huru, wako" concerned" sana na kitendo alichofanya M/kiti wa ZEC Jecha, kufuta uchaguzi na matokeo yake halali kwasababu tu aliyeshinda hakutakiwa kushinda- kikundi cha watu wachache kikikataa kwa mabavu matakwa ya wananchi walio wengi. Huyo ni Jecha.
Kwa upande mwengine wenye fikra huru pia wanajua kwamba M/kiti wa NEC, Jaji Lubuva alimtangaza mshindwa kuwa mshindi- Lubuva nae amewakilisha kikundi cha wachache wenye mabavu kukataa matakwa ya walio wengi.
Tatizo langu ni hili: Je Jecha na Lubuva wote wamefanya makosa yanayo fanana ila kwa staili tofauti?, au bac yupi aliye tenda haki zaidi ya mwengine?. Kwann Jecha hakufanya exactly kama Lubuva au Lubuva hakufanya exactly kama Jecha?
Wajuvi na wachambuzi wa systems na democracia na wana Jf tuliangalie hili bila ushabiki wa kisiasa wala dini.
Tuliangalie kama GTs.