Jk na mawaziri mburula

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Tumeshuhudia wizara nyeti kama wizara ya elimu na fedha zikishikiliwa na mburula wakati wa awamu ya 4 tofauti na awamu ya 3 na ya 5..
Nini siri ya JK kuamua kuweka hao mburula wake hali akijua kabisa hawana uwezo ktk mambo wanayo yaongoza?
 
mgimwa alikua mburula????????? rudovick utoah alikua mburura?????? lete cv yako tu compare na hao niliowataja.
 
Back
Top Bottom