Mkuu @pwanikwetu, unapaswa kuacha mara moja huu u.p.u.u.z.i wako wa kuweka kurasa za magazeti bila ya kujua undani wa habari kamili. Magazeti hayasomwi kirahisi hivyo, kwa kuangalia vichwa vya habari tu. Kama scanner yako haina kazi ya kufanya, kafungue stationary. Unaboa sana na tabia yako hii ya ajabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.