Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Wanachama, viongozi na washabiki wa CCM mpunguze kubadilika kama vinyonga. Wakati aliposimama Bungeni Kafulila na kusema kuhusu Tanzania kunyimwa fedha za MCC kwa kutotimiza vigezo, alishukiwa...
9 Reactions
Replies
Views
US cancels $472m Tanzania aid deal over Zanzibar election
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Kuna nafasi hizi za kisiasa, kama ukuu wa mkoa ambazo si nzuri kwa vijana hususani walioajiriwa. Wachache sana wanafanikiwa. Hebu fikiria wewe profession yako labda ni engineer na pia ni non...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
  • Redirect
Suala la kukosa msaada kutoka shirika la changamoto za milenia (MCC) limeshangaza na limewashtua wengi sana, japo ni jambo lililotarajiwa. 1. Uchaguzi wa Zanzibar 2. Sheria mbovu ya mamtumizi ya...
5 Reactions
Replies
Views
Serikali ilipokubali kuingia kwenye mfumo wa Market economy ilijitoa kwenye biashara na kuanza ubinafsishaji, jukumu la serikali likabakia kukusanya kodi.ulikuwa ni ujinga uliovuka mipaka kwa...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Hii imekusudiwa kwa wale vilizi na vilaza wa CCM wanaojitia kuwa madikteta kabla ya kujitegemea kiuchumi,hivi kwa hali hii kweli mnayo jeuri ya kumkoromea Mmarekani kutokea Chato,really?You are...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mheshimiwa Magufuli najua wewe sio mzuri kwenye hii elimu ya Business na Finance, na hio imei cost Tanzania shs Trilion1 ambayo ni hela haujaweza kuuingiza kama pato toka uingie madarakani ni hio...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
  • Redirect
Ni vizuri watanzania wakajua shutuma kadhaa dhidi ya mradi huu wa MCC ili kuwasaidia kuujua vizuri.. US agency accused of imposing Land Bill | Lesotho Times US embassy cable - 08WINDHOEK331...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
+ + + + + + + Tazama emails za UFISADI WA MCC na akina SYMBION hapa: After An Email To Hillary, Company Directed By Ambassador Joe Wilson Was Awarded Africa Contract
1 Reactions
Replies
Views
We are suppliers of quality hygienically fresh milk at affordable price. We start to supply from 20 litres to 400 litre daily or weekly. Contacts: 0657878416
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Wanaukumbi. Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Naomba mumsikilize mheshimiwa akiongelea Zanzibar kisha tujadili, Yaani anamaanisha kwamba hata kama wazanzibari kwa wingi wao wakiukataa muungano basi Tanganyika haiko tayari? Ni kweli zanzinbar...
0 Reactions
108 Replies
18K Views
Habari zenu wadau... Kuna taarifa kuwa serikali ina mpango wa kulipa madeni yote ya walimu mwezi huu wa tatu. Katika baadhi ya shule walimu wamepewa fomu za kujaza ili waweze kulipwa pesa hizo...
3 Reactions
56 Replies
12K Views
Kuafuatia MCC kusitisha kuendeleza miradi yote iliyokuwa inafanya hapa Tanzania hofu inazidi juu 1. Foreign direct investment. Je bado wanaiona tanzania sehemu salama ya wao kufanya uwekezaji...
2 Reactions
0 Replies
610 Views
  • Redirect
ni dhahiri kua jeuri ya ccm na serikali yake kwa kitendo cha kufanya ubakaji wa demokrasia visiwani zanzibar imeanza kukitokea puani, hasa baada ya kusitishwa utolewaji wa fedha za mcc. ni dhahiri...
2 Reactions
Replies
Views
WanaJF, Jana taifa limepata pigo kwa kukosa fedha za MCC takriban TZS 1.05Trillion ambazo zinatosheleza kujenga zahanati kata zote nchini, kuongeza kasi ya upatikanaji wa umeme hadi kufikia 57%...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
  • Redirect
Tazama hotuba ya Dr. Rajab Rutengwe aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro wakati anakabidhi ofisi kwa Mkuu wa Mkoa mpya Dr. Stephen Kebwe. Dr.Rutengwe anamuomba Rais Magufuli amhurumie kwani yeye...
0 Reactions
Replies
Views
Kama kichwa cha habari hapo juu!!! Ni jambo LA khekima na kheri kumsifia kiongozi pale ambapo kiongozi anapoonesha kuwa na yeye ni MTU wa kawaida ...magufuli ni rais ambaye anasifa zoote kama...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
  • Redirect
Wana JF. pamoja na kwamba misaada inatufanya tutawaliwe kinamna lakini kwa upande mwingine inasaidia katika kufanya maendeleo ya kweli kama wapewa misaada watakuwa serious kufuatilia. lakini sasa...
5 Reactions
Replies
Views
Tunaona huko Uganda, pamoja na Museveni kutumia mbinu kama zile za ccm, Mugabe, Kagame, n.k ili kushinda uchaguzi bado tunaona wapinzani wanaleta amsha amsha baada ya uchaguzi kwa kwenda...
7 Reactions
65 Replies
5K Views
Back
Top Bottom