Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 50,059
- 39,542
Wanaukumbi.
Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari alitoa ahadi 2012 kwa wapiga kura wake Wananchi wa Arumeru Mashariki, kuwa wakimchagua kuwa mbunge wao Arumeru Mashariki atashusha bei ya sukari ndani ya miezi miwili.
Wananchi wapenda maendeleo Arumeru Mashariki wanahoji lini bei ya sukari itashuka kwenye jimbo lao.
Makamanda tusaidieni tufahamu.