Jang Bo Go
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 854
- 253
Habari zenu wadau...
Kuna taarifa kuwa serikali ina mpango wa kulipa madeni yote ya walimu mwezi huu wa tatu.
Katika baadhi ya shule walimu wamepewa fomu za kujaza ili waweze kulipwa pesa hizo mwezi huu. Pesa hizo zinajumuisha malimbikizo ya mishahara na kupandishwa madaraja.
Kila la heri walimu maana neema inaanza sasa katika kada yenu na mtaifurahia kazi.
Hongera serikali ya rais Magufuli kwa uamuzi huo wa busara wa kuwakumbuka walimu wetu.
Hili likiwezekana ni uthibitisho wa dhamira ya dhati ya hii serikali kuwatumia wananchi.