Amani iwe na nanyi wana jukwaa hili maarufu afrika mashariki na kati na dunia kwa ujumla.
leo tena tunaendelea kufuatilia vikao vya bunge la bajeti linaloendelea jijini dodoma.
bunge limeshaanza...
Inasemekana kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM ya enzi za mwl. Nyerere na ya sasa. Kuna mfano wa mtu anajiita mwana CCM mfu dr. Lwaitama, yeye mara nyingi amesikika akisema CCM aliyoiacha Nyerere...
nikisikia brn, napata kichefuchefu kwani kinachosemwa na kinachotendwa ni tofauti, hv tanzania tuna viongozi wa aina gani. mfano walimu waliostahili kupanda madaraja hawajapanda kwa madai eti...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) kamanda John Heche amepokelewa kama mfalme na baadae kufanya mkutano mkubwa wa hadhara kata ya Sawida wilaya ya...
WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wamegoma kusimamia mitihani ya mwisho wa muhula iliyokuwa ifanywe na wanafunzi wa chuo hicho kuanzia leo wakidai malipo yao ya muhula uliopita yaweze...
Serikali italazimika kulipa hasara ya zaidi ya Sh5.2 bilioni (Dola za Marekani milioni 3.1) ambazo ni riba ya malimbikizo ya malipo ya miezi sita kwa Kampuni ya Jacobsen Elekron AS inayotekeleza...
Uraisi Muungano wampe Dr Ally Mohamed Shein na urais Zanzibar wamteue Maalim Seif Sharif Hamad, cha msingi wamuingize tu mijini Maalim seif akubaliane na sera na misimamo yao, kitu ambacho hata...
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.
Inajulikana na umma wa...
Ni ukweli ambao unaweza kupinga kwa hoja kijana huyu ni very smart kwa kila anacho kifanya hasa baada ya kuchaguliwa kuwa waziri kivuli wa uchumi na fedha japo anashirikiana na chama kikuu chu...
SERIKALI YAWAPA VYETI VYA URAIA WATANZANIA WENYE ASILI YA ... (kulia) akimpa cheti cha uraia wa Tanzania, Mkimbizi wa Kisomali mwenye asili ya KIBANTU
==================================...
Wanabodi,
17/06/2014 AZAKI ZAPONGEZWA NA KUPEWA CHANGAMOTO
Asasi za Kiraia nchini AZAKI, zimepongezwa kwa kazi nzuri ya utoaji elimu kwa umma wa Watanzania...
AllAfrica
16 JUNE 2014
Dar es Salaam TOL Gases Limited formerly, Tanzania Oxygen Limited (TOL), has started marketing carbon dioxide (Co2) manufactured at its Mbeya plants of Ikam and...
The Director General of Export Processing Zones Authority (EPZA), Dr Adelhelm Meru (second right) receives a dummy cheque from a Senior Project Manager of MAC Group Limited, Mr Nagarayan...
Dar es Salaam. Kenya's Tourism Regulatory Authority (TRA) has banned Tanzania's tour operators and vehicles from taking visitors to Kenya's game reserves and parks.
According to the Kenya News...
Wakati wizara ya fedha ikiendelea na majadiliano ya Bajeti ya Serikali mjini Dodoma, Serikali ya Japan imetoa kiasi cha Yen za Kijapani bilioni 1.5 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 24.1 za...
Robert Mugabe
Robert Mugabe, president of Zimbabwe, still is fighting to regain the land once owned by his ancestors. He was part of the revolution against the white government in Rhodesia and...
Wakuu hali imezidi kuwa mbaya ndani ya ccm hii ni baada ya Uvccm mkoa wa morogoro kupasuka katikati kwa kugombea madaraka
Hii inadhiirisha jinsi chama hiki kizee kitapata uridhi wa vijana...
Waziri SMZ apinga Muungano wa serikali mbiliNa Mwinyi Sadallah
Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid, amevunja ukereketwa na kusema mfumo wa serikali mbili katika sura...
Kikao cha bunge la bajeti kinaendelea tena leo ambapo kwa ratiba inavyoonyesha kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu kisha mjadala wa bajeti kuu ya serikali utaendelea.....stay tune for live...
Baada ya kukutana na post ya Ninaweza akiwajibu wafuasi wa ACT ambao pia ni wanachama wa CCM, kuhusu mpango wa kumfukuza aliyekuwa mgombea wa CHADEMA jimbo la IGUNGA huko TABORA... Nimeamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.