Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Hii imekusudiwa kwa wale vilizi na vilaza wa CCM wanaojitia kuwa madikteta kabla ya kujitegemea kiuchumi,hivi kwa hali hii kweli mnayo jeuri ya kumkoromea Mmarekani kutokea Chato,really?You are kidding me,people...Uovu wote mlioutenda mnaona hautoshi, hatua kwa hatua bado mnayo hamu ya kutuharibia nchi yetu,kah!