Namshukuru Mungu kwa kutuletea rais ambaye hana makundi wala hana harufu zozote za ufisadi

ULIMI MKUBWA

Senior Member
Mar 27, 2016
195
182
Kama kichwa cha habari hapo juu!!!
Ni jambo LA khekima na kheri kumsifia kiongozi pale ambapo kiongozi anapoonesha kuwa na yeye ni MTU wa kawaida ...magufuli ni rais ambaye anasifa zoote kama hayati mwalimu nyerere!!!

Hivyo watanzania tumuunge mkono rais wetu kwa kauli mbiu yake ya "HAPA KAZI TU" kwa kufanya KAZI kwa bidii na kujituma zaidi!!
Nchi nyingi za kiafrica kwa sasa zinatamani rais magufuli awe ndiye rais wao!!

Mimi ninaamini rais magufuli atatuvusha wala hata tuangusha!!

Watanzania tuwe tunamuombea rais tukiwa misikitini na makanisani!!
 
Katika nchi hii kiongozi asiyekuwa fisadi chini ya ccm hayupo, ila kuna fisadi na fisadi papa yaani huyu ufisadi wa nyumba unatosha acha meli ya samaki
 
Kazi tunafanya lakini atuoni ahadi za kampeni zikitimizwa. Rais mzuri ni anayewaongoza wananchi kupata maisha bora. Tungependa serikali ituambie ni lini habari ya majipu itaisha na sisi makabwela kuanza kuona unafuu wa maisha. Tungependa kujua hii habari ya serikali kuwa pesa nyingi kutokana na kodi lakini wananchi hawana pesa za kukidhi mahitaji mwisho wa siku tutafaidika nini kutokana na serikali tuliyoichagua.
 
Kabisa baba.... Magufuli mwakani ataifanya TZ iwe donor country ....
 
Siyo donor country tu, Bali hata sembe country
Hayo ya sembe siyajui Mimi... Nijuacho mheshimiwa atatupeleka kwenye nchi ya neema.... Tumechoka kusaidiwa kifedha na magharibiii... Kuanzia mwakani na sisi tutakua na uwezo wakusaidia nchi zingine....

Go Magu gooooo
 
Magufuli hana harufu ya ufisadi? Zile nyumba za serikali alizowauzia kimada wake na mdogo wake ambao hata hawakuwa wafanyakazi wa serikali je?
 
Muhimu ni kuwa, kwa sasa Tanzania ina Rais anayechukua maamuzi mapema bila kusubiri kushinikizwa and in good faith bila kujali kelele za wapita njia.

Kwa kuchukua maamuzi haraka ni mabadiliko makubwa katika uongozi wa ofisi ya Rais.
 
"Watanzania tuwe tunamuombea rais tukiwa misikitini na makanisani!!" Tumuombee ili iweje na wewe utaombewa na nani?mmukumbusheni kujiombea mwenyewe.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu!!!
Ni jambo LA khekima na kheri kumsifia kiongozi pale ambapo kiongozi anapoonesha kuwa na yeye ni MTU wa kawaida ...magufuli ni rais ambaye anasifa zoote kama hayati mwalimu nyerere!!!

Hivyo watanzania tumuunge mkono rais wetu kwa kauli mbiu yake ya "HAPA KAZI TU" kwa kufanya KAZI kwa bidii na kujituma zaidi!!
Nchi nyingi za kiafrica kwa sasa zinatamani rais magufuli awe ndiye rais wao!!

Mimi ninaamini rais magufuli atatuvusha wala hata tuangusha!!

Watanzania tuwe tunamuombea rais tukiwa misikitini na makanisani!!

Karibu jf ndugu Dinis Kajo.
 
Hayo ya sembe siyajui Mimi... Nijuacho mheshimiwa atatupeleka kwenye nchi ya neema.... Tumechoka kusaidiwa kifedha na magharibiii... Kuanzia mwakani na sisi tutakua na uwezo wakusaidia nchi zingine....

Go Magu gooooo

Watu wana ndoto za alinacha... Mpaka sie tujitosheleza na kusaidia wengine ni leo. Baadhi ya Wilaya tu hospital na barabara ni masikitiko achilia mbali elimu ambayo ipo hoi.

Wee sema atatufikisha mahali ambapo angalau kama watangulizi wake wangefanya tungekuwa mbali sana.

Kinachotakiwa chaguzi zijazo tuwe makini sana na watu walaghai tusiwaweke kwenye madaraka maana wataturudisha kuleeeee....

Au kama vip akipige miaka kama 20 then aachie...though its to early to evaluate him. We need like 2-years assesment for his leadership to know if he"s strong leader or business as usual.
 
Mkuu nilichokiandika hapo sikuwa serious!!
 
Back
Top Bottom