SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Mheshimiwa Magufuli najua wewe sio mzuri kwenye hii elimu ya Business na Finance, na hio imei cost Tanzania shs Trilion1 ambayo ni hela haujaweza kuuingiza kama pato toka uingie madarakani ni hio ni kuonesha kwamba hio hela ni nyingi kiasi gani, kwa wale wana mahesabu watanielewa yaani kikwete alikua anaingiza Bilion 900 kila mwezi na Magufuli anainingiza average Trilion1.2 ukitoa hapo utapa kwa hio yeye kaongeza pato la kama 300bilion so kwa muda wote huu aliokaa madarakani hajaweza kufikisha trilion1 ambayo ndio hela tulio ikosa kutoka kwa wamarekani kwa sababu za kijinga tu zisizo na msingi na kujifanya hawezi kuingilia yale majanga yaliokua yanatokea zanzibar sasa kwa assessment za private companies Magufuli ni failier na anatakiwa afukuzwe au mkataba ukatishwe kama Director wa company kwa kutojua NPV ambayo ni kitu simple sana
Angeweza acha kukimbizana na akina bakharesa akapambana na marekani kupata hio hela kwanza then hao wakwepa kodai wengine baadae sasa hivi tungekua tunaongelea kitu kingine hapa i mean umeme wa kutosha nigeria pamoja na shortage ya umeme walio nayo still wana zalisha umeme zaidi megawatt 10,000 wakati sisi bado tunakomaa na vi megawatt 2000, na ni kitu ambacho bila wizi tulikua na uwezo wa kupata machine kutoka GENERAL ELECTRIC machine za zaidi ya Meg 3000 kwa hio trilion amabyo magufuli na kikwete wameichezea na kuendelea kukimbizana na vijitu vidogovidogo na thubutu kumtaja na kikwete sasa yeye ndio mwenyekiti wa ccm na Magufuli ndio baba wa Taifa hili kwa sasa
Ushauri: its not too late Mr president we can still make it lakini kama mtaacha na kuficha huo ukuu wenu atleast mkacheza huo mpira wa wamarekani mashaert walioyaweka wala sio mabaya wala sio makubwa hawajatuambia tuwe ma Gay hapana wameweka vitu muhimu kwa mstakabali wa Taifa pia fateni hayo mashart nyie mnayajua tafadhalini tunazihitaji hizo hela tusijifanye kwamba tunaweza kujitegemea wakati ukiangalia hio budget yenu ya kila mwezi hela za maendeleo katika hio trilion unayokusanya ni almost bilion250 sasa kwa huu mwendo Magufli trust me utaondoka madarakani bilabila kama mh kikwete halafu uonekane na wewe haujafanya kitu wakati ki ukweli unajitahidi kupiga kazi
yangu ni hayo kama mtanzania