Binafsi sina shaka sana na Mnyika , lakini kila nikiangalia ma boss na marafiki wa zamani wa viongozi/wajumbe wa sasa na waliopita CHADEMA nakosa imani sana .
Kuna kila dalili ya undercovers...
Wakuu hebu chunguzeni background za maisha ya hawa waliofuga manywele kama Lissu mtagundua kama hawajawahi kuvuta Bangi basi hawana elimu za maana au ndiyo walaji wa kuu wa hela za donation...
Wewe Jamaa, Kama wakati ule inamchagua kua Upande wa Lissu, basi kilochokufanya uchague upande wa Lissu kikufanye uendelee kumuheshimu Lissu anapohangaika na Kesi yake ya kubambikiwa.
Lkn kama...
Dalili zote zimeshaonyesha CCM itatoka madarakani kwa kumwaga damu ilo halina tena ubishi tena angalia kilichotokea October 29 kwa hiyo wanaosubiri kwamba CCM itaweza kuleta katiba mpya ni...
Tunamlaumu Nasaoro Katuga kwa ku expose mali za kiongozi wa CHADEMA.
Wakili wa serikali yuko kwenye minyukano mahakamani tunategemea aje kusema Heche ni malaika wa Bwana ??? Anapiga kwenye...
DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania (TTCF), na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Lutgard Kokulinda Kagaruki, amesema changamoto za...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema "Akitokea mtu na nje ya humu, mwanachadema au mpenda demokrasia na haki, akasaliti mapambano ya kutafuta katiba mpya...
Kama mbowe alidumu ktk black agent, zaidi ya miaka 30, akiwadanganya watanzania" kuwa ni mpenzani wa kweli" je haja acha majunior wake? Vp kuhusu kampen manaja wake kwenye uchanguzi wa...
Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Karibuni sana. Godbless Lema.
Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani. Tundu lissu kapitia mengi
Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote...
Hii level ya ujuha ni next level. Itabidi miaka ijayo wanasaikolojia wafanye research kubwa ya nini kinaendelea.
Mimi nina wasiwasi kwamba kuna ushirikina mkubwa unaendelea, maana mbona...
Ina maana mwisho wao wa kufikiri ni uwepo wa mtu akiondoka na maono yao yanaishia pale hadi kiongozi mwingine aje waanze upya.
Ndio ujue tofati ya Kiongozi na Kiazi.
Wakuu,
Kuna suala limekuwa likichanganywa hapa hivi maridhiano ni kati ya serikali ya CCM na vyama vya upinzani? au ni kati ya Serikali ya CCM na wananchi, katika mambo ambayo yanatakafaklisha...
Wasira kama tundu lisu.. anaweza kufunguliwa kesi kwa kutamka au kusema
1. Jamii haiji kuwa na usawa wakati napambana ikifika wakati wangu kuongoza nitaleta usawa
2. Kuvunja Muungano...
Yaan kwamba LEMA alona akiongea tu haitatosha, akaona aambatanishe na Nyaraka ya AI kuonyesha kua HECHE anaawasiiiano na DGIS.
Hapa LEMA alikua anajaribu kujenga ile picha ya HECHE NDIO ANAMFANYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.