Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Hapa naileta kama swali, hii dhana na kauli mbiu ya Samia Mitano Tena, kufuatia ile the spirit ya 2025, "twende na mwanamke" ...
11 Reactions
79 Replies
3K Views
Kwa mauwaji yale. Tanzania haiwszi kuwa kama zamani. Ushauri wangu kwa wale Lumumba Buku 7, acheni kupoteza muda wenu. Huwezi kuua watu namna ile halafu ukadhani maisha yataendelea tu kama...
7 Reactions
8 Replies
253 Views
  • Poll Poll
Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana) Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani...
3 Reactions
89 Replies
1K Views
TUMÉ HURU YA KUJICHUNGUZA......
3 Reactions
1 Replies
381 Views
Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata...
21 Reactions
82 Replies
2K Views
Ndugu Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba. Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.
5 Reactions
29 Replies
972 Views
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani. Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria. Hakuna sababu...
1 Reactions
1 Replies
137 Views
Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9. Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa =========== Hali...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Hiki chombo kwakweli nadhani ndio chombo ambacho baada ya rais kuwa juu ya sheria basi chombo kinacho fuata ni jeshi la polisi wakifuatiwa na usalama wa taifa lakini kinara wa kuvunja sheria za...
2 Reactions
7 Replies
206 Views
Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100. Mpaka leo zimeyoyoma karibia siku 50, yaani %50 ya siku 100 kutekeleza aliyoyahaidi majukwaani. Je, ametimiza yapi kati ya haya...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Taifa letu limejaa mambo ya ajabu, ya hovyo kupindukia. 1. Mahakama ovyo:: Ukifuatilia mwenendo wa kesi ya Lisu unagundua mahakama zetu zilivyo hovyo, mahakimu wetu walivyo hovyo, na ofisi ya DPP...
24 Reactions
73 Replies
4K Views
I expected kauli kama “ Mim na nyie waandishi wahabari nipo tayari kwenda kwenye eneo wanalosema miili imezikwa tukajionee na kureport kuwa sio sahihi…” Kwanini Msigwa uwa anajitoa sana ufahamu...
40 Reactions
42 Replies
2K Views
Leo ni takriban siku ya 10 toka Jeshi la Polisi Tanzania lilipotoa taarifa ya hali ya usalama nchini tarehe 12/12/2025. Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa kipindi chote hicho hali ya usalama nchini...
0 Reactions
7 Replies
279 Views
Inatosha tuwe tu na Rais, Makamu wa Rais, Spika na Jaji Mkuu. Kimuundo Tanzania haina ulazima wa kuwa na waziri Mkuu.
13 Reactions
57 Replies
951 Views
Huyu Mama na Chama cha Mafisadi hadi leo watu hawana maji mji mkubwa watu wana nunua maji na mgao wa umeme. Tusishangae hawashindi mpaka kuiba kura maana ni nani mwenye akili zake atawapigia kura...
3 Reactions
3 Replies
200 Views
1. Kuhusu ujenzi na usimamizi wa barabara kuu yaani za tanroad. Kuna changamoto kubwa sana ya kujua priorities za nini cha kufanya, Moja lazima tujue barabara gani za tanroad za kujenga na kwa...
2 Reactions
2 Replies
151 Views
Ndugu zangu sipo hapa kupiga siasa au kuchochea chuki, bali ni kuleta ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo Nimeota gari la askari limepata ajali, wakafariki askari wengi sana. Basi watu...
4 Reactions
8 Replies
254 Views
MAANDAMANO SIO NJIA SAHIHI YA KUDAI HAKI KWA NCHI AMBAZO ZINAENDELEA. Wakati tunaendelea na ujenzi wa Taifa , kama wananchi tunabidi kujiambia ukweli kuwa maandamano ni njia mojawapo ya kudai...
4 Reactions
105 Replies
1K Views
  • Featured
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati...
4 Reactions
68 Replies
7K Views
Back
Top Bottom