Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA ikifutwa leo atakaye msikiliza Samia na genge lake ni polisi tu sio raia au umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani au jumuiya yoyote. Tena hawa polisi hawazidi hata laki moja nchini na...
0 Reactions
3 Replies
133 Views
Hii serikali kwa Sasa Ina uongozi flani wa kisayansi sana........kwa mwenye akili tu ndo atanielewa lakini kwa mimburura itaishia kutukana tu hapa kama kawaida yao. Nimependa approach zao...
0 Reactions
30 Replies
584 Views
Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya...
31 Reactions
156 Replies
6K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba tayari mipango ya kuifuta Chadema kwenye Daftari la Msajili imekamilika Habari zingine zinadokeza kwamba huo ndio ushauri wa Mwigulu Nchemba kama Kipaumbele...
22 Reactions
63 Replies
2K Views
Kuna kitu lazima mamlaka zijifunze leo na hata kesho kea manufaa ya Dada na ya baadae Gen Z sio kizazi cha wafia dini.. In fact hawako serious kabisa na dini.. Wana tafsiri za kushangaza kuhusu...
19 Reactions
41 Replies
2K Views
Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata...
6 Reactions
92 Replies
3K Views
Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vyetu kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme ukweli. Baadhi ya mbinu wanazotumia...
5 Reactions
11 Replies
348 Views
Nani anaruhusu haya mambo? Mfadhili wake ni nani? Nia yao ninini? Matokeo yake ni yapi? Kwanini tunaendelea kuruhusu kuonekana kituko cha dunia? https://www.facebook.com/share/v/1BfeZK52Wz/
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini...
1 Reactions
2 Replies
211 Views
Download hii video haraka Oscar kambona alikuwa mbele ya Muda. Alilalamikia mfumo wa kidikteta ulitengenezwa na Nyerere. Huo mfumo ndio unaitesa nchi hii mpaka sasa hivi...
4 Reactions
11 Replies
428 Views
Effective January 1, 2026, at 12:01 a.m. EST, in line with Presidential Proclamation 10998 on “Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United...
9 Reactions
39 Replies
1K Views
Kwa nia njema mmetoa tangazo la wananchi kutuma ushahidi wa yaliyotokea 29 October, 2025. Hakuna atakayethunutu kuwatumia taarifa yoyote kwa kuogopa identity yake kujulikana na baada ya hapo...
8 Reactions
12 Replies
236 Views
Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania. Binafsi nawatakia vijana na...
1 Reactions
9 Replies
207 Views
Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya...
4 Reactions
98 Replies
3K Views
Tukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya. Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
8 Reactions
76 Replies
2K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema kwa sasa yanahitajika maridhiano ya kweli ili kulirudisha taifa katika amani na...
3 Reactions
7 Replies
583 Views
Kama akina GenZ wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano. Wakasema maandamano sio ya siku moja bali ni siku 100 mfululizo au siku 365 mfululizo au siku 730 au siku 1095 mfululizo mpaka wapate...
10 Reactions
55 Replies
884 Views
Picha zilitoka juzi wakionekana Ikulu. Katika hali ya mauaji yale , kweli waliigusia? Samia alijibu vile vile kuwa nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi Mze Warioba alimshauri nini? Lets guess!
2 Reactions
13 Replies
593 Views
Neno la Mungu linasema kwamba ukimtendea mwenzako ubaya utalipwa hapa hapa duniani. Huu ni ukweli wa wazi na ambao huwezi kuukwepa kwa kuwa umefungamanishwa na neno la Mungu. Mwaka 2017 mheshimwa...
9 Reactions
13 Replies
539 Views
Akizungumza na Jamhuri TV Jaji Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba ameeleza kuwa alionya jeshi kuhusishwa na siasa na sasa matokeo yake yanaonekana ni kuwepo kwa mgawanyiko ndani ya vyombo vya usalama...
7 Reactions
8 Replies
540 Views
Back
Top Bottom