Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.
TAARIFA KUTOKA CHADEMA
BreakingNews...
Kama taifa, tuache tabia ya kuokoteza viongozi. Viongozi wasipatikane kwa misingi ya upambe, uchawa ama udugu.
Hii inatuchelewesha sana ndugu zangu. Badala ya kuumiza kichwa jinsi ya kukuza...
Tumesikia kuwa Jumuia ya Madola imemtuma Chakwera, rais wa zamani wa malawi kuja kusaidia kuleta maridhiano nchini, Hata hivyo Chawera amekuwa akitoa msimamo kuwa ziwa nyasa lote ni mali ya...
Mtanzania yeyote mwenye akili timamu hawezi kuishabikia CCM na ukimuona mtanzania yupo CCM jua ama anaitumia CCM kwa maslahi yake binafsi au anatumiwa na wanaoiongoza CCM kwa maslahi yao binafsi...
Friends and our Enemies,
Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...
Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa...
Tafsiri isiyo rasmi
Jamhuri ya Malawi
Taarifa kwa Umma
Wizara ya Mambo ya Nje inapenda kuujulisha umma kwa ujumla kwamba, baada ya mashauriano ya kidiplomasia ya kina na kwa kuzingatia mifumo...
My people,
Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji
Kuna...
Wanadai kuna Polisi waliouwawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao.
Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika...
Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi.
Taarifa...
Mchoro wenye kuonyesha: Mtindo wa Mikataba ya Kimataifa Unaotumiwa na Dubai (The Dubai BIT Model) wenye sura ya piramidi la mikataba ifuatayo: (1) Inter-Governmental Agreement (IGA), ambacho ni...
Wanaotetea nchi yao wanaitwa majina, wachochezi, waliohongwa, wanaotumiwa na mabeberu, wahaini na kadhalika. Ajabu wanaiibiana kuiuza nchi wanajiita wazalendo,walinzi wa amani, na majina mengine...
Nauliza swali jamani, Hivi ilishawahi tokea wazee wa Daresalamu au wa popote pale wakaongea na Rais? Mimi uwa nasikia Mh Rais kuongea na wazee wa DAR. Je ilishawahi tokea wazee wenyewe wakaona...
Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi...
Mbunge wa Jimbo la Uyole na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amegawa chakula na msaada wa fedha kwa kaya zisizo na uwezo zipatazo 130 kutoka kata 13 za Jimbo la Uyole...
Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea...
Wakati Mama yetu akiuwa vijana wetu kwa chaguzi fake, kujilimbikizia mali kwa familia , kujaza familia kwenye uongozi na kudumisha uzanzibari na udini. Haitoshi hayo yote Mama huyu ameshidwa kiasi...
Daa sijui tunaelekea wapi, ukisikiliza makundi ya TikTok na X vijana Wana hasira vinaya mnoo, wanatamani kupata siraha za moto.
Kitu kinachofanya serikali iendeleze ubabe na kuteka watu ni...
Wenye macho, hawahitaji kuambiwa kuwa kuna giza nene kwa Tanzania linanyemelea kutokana na uharamia na kiburi cha watawala.
Mpaka sasa,
1. Tanzania imezuia visa za wachunguzi 10 kutoka mahakama...
Naweza kusema yalikuwa mahesabu ya hovyo japokuwa walidhania yataisadia CCM.
Eneo pekee hapa nchini ambalo huwa linatoa mustakabari wa taifa letu ni kanda ya Ziwa Victoria hususani kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.