GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Penguinelli Cactussini

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
104
Reaction score
382
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?

Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru?

Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma?

Enyi watu wazima ambao mliona maandamano kadhaa yaliyohusisha wanasiasa, wanaharakati na pengine wafanyabiashara hapa Tz.

Kwa tathmini yako, unaona kutakuwa na maandamano ya patashika au ni kelele tu za mtandaoni kisha zinakufa?

Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
 
Kama historia ndo muongozo wa yanayoweza kutokea huko mbeleni, ukizingatia muktadha, ni kwamba hakutakuwa na maandamano yoyote yale ya maana.

Wanaweza wakaandamana watu wachache sana na katika sehemu chache.

Watanzania sisi bado ni waoga mno.

Najua wengi hawapendi kuusikia huu ukweli.

Sababu kuu ni kwamba ukweli unauma.

Hivyo mtu ukiusema, watu hawapendi kuusikia na wanaishia kukulaumu wewe uliyeusema.

Kusema ukweli si kukatisha watu tamaa.

Badala ya wao kuuchukulia huo ukweli kama motivation, wao wanaishia kukutukana tu.

I love me some naysayers. They are my motivators.
 
20251009_140922.jpg
 
Hawatatoka maana watanzania ni wanafiki na waoga, unaweza wapigania ila ukipata shida wanakuacha peke yako.
 
Tunatoka Mimi nishanunua kisu Cha kimasai atakayenigusa tu nadumbukiza tumbani kwake aniue tufe wote
Mlisema mnatoka maandamano ya amani au mmebadilisha gear angani na visu sasa basi msije kulialia humu baadae.
 
Kama historia ndo muongozo wa yanayoweza kutokea huko mbeleni, ukizingatia muktadha, ni kwamba hakutakuwa na maandamano yoyote yale ya maana.

Wanaweza wakaandamana watu wachache sana na katika sehemu chache.

Watanzania sisi bado ni waoga mno.

Najua wengi hawapendi kuusikia huu ukweli.

Sababu kuu ni kwamba ukweli unauma.

Hivyo mtu ukiusema, watu hawapendi kuusikia na wanaishia kukulaumu wewe uliyeusema.

Kusema ukweli si kukatisha watu tamaa.

Badala ya wao kuuchukulia huo ukweli kama motivation, wao wanaishia kukutukana tu.

I love me some naysayers. They are my motivators.
WaTanzania sio waoga per se issue ni coordination ndio mbovu, mbona huko nyuma maandamano ya chadema yalifanikiwa sana enzi za Dr Slaa!!

Maandamano yatafanikiwa yakiwa organised kwa makundi mfano boda boda wa kila wilaya, wamachinga, vyama vya siasa, VICOBA, school clubs, timu za jogging, Mama Ntilie n.k ila hii ya general tu haiwezi kufanikiwa.

Tatizo haya ya tarehe 29 hayana mwanzo wala mwisho so hata wanaotaka kuandamana watakua disorganised so inakua rahisi kudhibiti.
 
Tunatoka Mimi nishanunua kisu Cha kimasai atakayenigusa tu nadumbukiza tumbani kwake aniue tufe wote
 
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
Naona huyu mtu kakujaa akilini mwako, ni nani huyu?
Naye kuna nafasi anagombea kwenye uchafuzi wa Samia?
Kwa tathmini yako, unaona kutakuwa na maandamano ya patashika au ni kelele tu za mtandaoni kisha zinakufa?

Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
WaTanzania hawaandamani kumfurahisha huyo Bangi Kibangi;;p kama unayo shida na yeye usituletee hapa;; nenda kamtafute alipo muyamalize wenyewe. Au pengine ni mtu mliyepanga na Samia kumpoteza kama hawa wengine akina Popole?

Kama unahofu ya mabadiliko yatakayo wasomba waovu nyinyi; subiri hapo hapo, acha kiherehere.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom