1. Kuhusu ujenzi na usimamizi wa barabara kuu yaani za tanroad.
Kuna changamoto kubwa sana ya kujua priorities za nini cha kufanya, Moja lazima tujue barabara gani za tanroad za kujenga na kwa kiwango gani ? hatuwezi kugusa gusa kila sehemu bora tuchague sehemu zinazoingiza kipato kikubwa tukisimamie kwa ufanisi haswa, Mfano Tunduma Igawa ni barabara kubwa na yenye kipato kikubwa sana ikiwemo bypass ya uyole mbalizi bora kusimamisha barabara zote tushughulike na hii tu na kuanzia mpemba iwe barabara nane kwa sababu by 2040 tutakuwa na average fleets 6000 per day crossing our border , sasa tusije kuvunja tena baadae 2035 kupanua barabara .
2. Hela zote za tarura tuvumilie miaka 3 tuelekeze sehemu chache tu kama ni wilaya 10 tu zenye uzalishaji sana , kama ni huduma automatic watu watahamia sehemu zenye mifumo bora sio kujigawa gawa kila mahali na kote hatufanyi vizuri
3. dry port iwe dodoma . nimesikitika sana imechukua miaka 15 kujenga dryport ya kwala, ile ilikuwa enzi hatuna SGR sasa hivi ile haina kazi tena au ifanye kazi kw asilimia chache chana kwa domestic cargo only kwanini ? Meli ikishusha container zinatakiwa zipakiwe zote za DRC, MALAWI, ZAMBIA, RWANDA, BURUNDI NA UGANDA, Kisha pale zinashukia iringa mbeya kyela kwa za malawi, mbeya tunduma za drc na zambia, then burundi rwanda zinaunga kupitia kahama . nyakanazi rusumo,au mwandiga burundi ina maana tutakuwa tumeondoa foleni kwa kiwango kikubwa sana na kupunguza msururu wa malori, yatabaki ya mafuta tu na ya kubeba sumu, ya kwala iwe inahudumia kanda ya kaskazini kwa muda kabla reli ya kaskazini haijajengwa
4