I thought we are going to critically analyze the CNN report, but who am i?

I thought we are going to critically analyze the CNN report, but who am i?

20211212_214118.jpg
 
Kuna mijinga kama hii! Sijui akili zao ziko wapi, halafu linajiita mtangazaji wa kiredio gani?

Wamahabari wengi wa Kitanzania wamekosa ujasiri wa kuongelea mauaji ya kimbari yaliyofanywa na utawala wa Samia.



IMG-20251123-WA0004.jpg
 
Kuna mijinga kama hii! Sijui akili zao ziko wapi alafu linajiita sijui Mtangsxaji sijui wa kiredio gani.

Wamahabari Watanzania wengi wao mmelaaniwa kwa kutokuyaongelea Mauaji ya Kimbari yaliyofanywa na Utawala wa Samia.

View attachment 3506363
Kakanusha sio yeye mkuu ni fake account anavyodai, nilienda kule insta na hasira kinoma.
 
Kama balance story kwa nini MSIGWA hajaleta huo UKWELI??
Mimi nilivyoona lile tamko lao la kusema watafanya analysis ya kutosha alafu watakuja na majibu sahihi me nikaona watakuwa serious ila kwa majibu haya wanawaangusha hata hao wachache wanaowasapoti.Ukiwa umefanya mabaya inakuwa ngumu sana kujitetea badala yake ndio unaona maboko Kama haya
 
Msigwa kajitoa UFAHAMU!
Yetu macho na masikio...
Wenzetu siyo kina TBC au magazeti ya uhuru, majira na toilet paper gani sijuwi...
Ripoti iko sawa kabisa, ICC LAZIMA WAWASHITAKI WAHUSIKA..
 
I expected kauli kama “ Mim na nyie waandishi wahabari nipo tayari kwenda kwenye eneo wanalosema miili imezikwa tukajionee na kureport kuwa sio sahihi…”

Kwanini Msigwa uwa anajitoa sana ufahamu?

Mambo mengine ni kujikoroga kabisa

Britanicca
Larry madowo na CNN si wameambiwa waje,wakija wataenda huko kwa kondo kufukua Ili kuona miili
 
Back
Top Bottom