Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!