Majuzi Waziri Simbachawene alitoa maagizo akiwataka Jeshi la Polisi kukamata raia kwa kufuata taratibu na sheria, kwa kutokamata raia kihuni. Wawe wanavaa sare, na waache kuvaa kininja.
Itakuwa...
Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo...
Utangulizi: Demokrasia kama Imani, Sio Ukweli
Katika Tanzania na Afrika kwa ujumla, Demokrasia imegeuzwa kuwa imani ya kisiasa isiyoruhusu kuhojiwa. Ukiongea dhidi yake, unaitwa adui wa maendeleo...
DIGITAL WORLD: OPPORTUNITIES AND RISKS
I SHALL EXPLAIN
When you watch a video from an artist, like Diamond, for example, it usually lasts around 3-6 minutes. However, in reality, you might end up...
Yaani Samia na genge lako mnataka tu maandamano yaishe kirahisi rahisi tu?
Wakati ujinga na upumbavu bado unaendelea?
Maandamano yaishe Lissu akiwa bado gerezani?
Maandamano yaishe Polepole...
Kwa sasa tuichukulie kama Tetesi.
Bali mtoa Taarifa wetu ameeleza kwamba hiyo ilikuwemo kwenye makubaliano ya ya awali kama shukrani kuwa kukubali kutumika kusaliti demokrasia n.a. kuwageuka...
Katika siku za karibuni, nchini kumeendelea kushuhudiwa matukio ya watu kukamatwa na vyombo vya dola, hususan Jeshi la Polisi, na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu zaidi ya saa 24 bila...
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Kassim Majaliwa amemdhukuru Aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
Majaliwa ametoa shukrani hizo leo, Jumamosi Desemba 20.2025 kwenye...
Ni kweli "KATIBA NI KIJITABU TUU" KATIBA YA KWELI NI MIMI NA WEWE KUBADILIKA KUWA WAADILIFU. HIYO NDIO KATIBA MPYA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kisheria Katiba ni zaidi ya kitabu. Hii...
Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika.
Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU.
Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili...
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, akihutubia Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Urusi...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa tahadhari kali kwa wananchi wenye tabia ya kupiga baruti au fataki bila vibali vya kisheria, likisisitiza kuwa hatua za haraka za kisheria...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1
Itolewe kwa Uharaka
Dar es Salaam, 12 Disemba 2025
Na. 028
Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na...
Nchi iko gizani. Imevimba bado kupasuka. Washauri wake mshaurini as underate hí hali tuliyo nayo. Aifanyie kazi, aachane na mazoea ya business as usual.
Huko mbele kuna giza nene kwa kila Moja wetu!
Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote.
Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya...
Msiwawafanye watanzania ni wajinga na wapuuzi. Kwa nini Dp World ambao ni waarabu wapewe kandarasi ya kuendesha bandari wakati uwezo tunao.
Kama ni kupanua na kujenga angepewa mkandasi akajenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.