Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Leo Maalim Seif amekamilisha ziara yake marekani na sasa anaelekea canada. Ziara hiyo ina nia pia ya kupeleka ujumbe kwa jumuiya za kimataifa kuhusu hali ya democrasia zanzibar na tanzania kwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Bei elekezi ya sukari tsh 1800/= lakini mitaani watu wanunua sukari hadi tsh 4000/= Haya ndio madhara ya bei elekezi kutolewa na mtu ambaye sukari anayotumia kila siku katika familia yake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
KILICHOSHANGAZA TANZANIA KUWA GRADUATION YA WANAFUNZI WA UDSM CCM HAIKUSAMBALATISHWA NA POLISI. MGENI RASMI ALIKUWA JK. ILA YA WANAFUNZI WA UDOM CHADEMA ILISAMBALATISHWA NA KUITWA MKUTANO. VS
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Redirect
Jamani naomba kujua aliko mbunge wangu kipenzi John mnyika maana ni muda sjamsikia hadi inatia shaka
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Juzi tu kajiunga na UDP na leo kawa naibu katibu mkuu wa chama Haya maumivu ya kichwa huanza polepole Attack from all fronts
0 Reactions
Replies
Views
Pamoja na kuitwa na kuhojiwa ikiwa ni pamoja na kuwasilisha vielelezo vyake kwenye Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea amemuandikia Katibu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jeshi hilo linamuhitaji Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa kuwa kuna mkanda wameupata unaosemekana ni wake...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Picha za matukio kutoka kwenye kikao cha kamati kuu ya CCM kilichofanyika leo Mwenyekiti wa CCM na rais mstaafu, Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa kamati kuu ya CCM kwenye ofisi ndogo ya CCM...
6 Reactions
141 Replies
19K Views
Serikali imepanga kuunganisha taasisi zote zinazofanya kazi zinzazofanana ili kuendelea kubana matumizi zaidi, hayo yamesemwa na waziri Angela Kairuki alipokuwa anajibu swali la mbunge wa viti...
10 Reactions
183 Replies
24K Views
Habari za mapumziko ya mwisho wa juma ndugu zangu?mimi ni mzima namshukuru Mungu Moja kwa moja kwenye wazo langu na ufafanuzi wake,mimi fani yangu ni Mwalimu ndo kitu nilichosoma(shahada ya elimu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
BAVICHA mkoa wa kilimanjaro,tunalaani kitendo cha polisi,kuvamia eneo la kufanyia mahafali ya CHASO Kilimanjaro(keys hotel) na kuzuia mahafali isifanyike bila sababu za msingi.Polisi,waweshindwa...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Historia inasema mwaka 1965 NYERERE Alivifuta vyama vingi vya siasi na kuweka mfumo wa chama kimoja kabla ya yy mwenyewe kuona umuhimu wa vyama vingi na kuvirudisha mwaka 1992.SWALI LANGU JE...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TCRA/TRA NA MAMLAKA YA LESENI KURUDISHA HESHIMA YA UFUNDI SIMU ILIYOPOTEA. Kwanza napenda kutoa shukrani zangu kwa vitengo vilivyotajwa hapo juu pamoja na hayo, pia ujio wa muswada wa sheria...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
chanzo.JPM Kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM Julai 23
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
https://www.facebook.com/hassan.hatibu.14/posts/559050334277501 "Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Rais wetu amechaguliwa kidemokrasia na ndio maana anakosolewa. Angekuwa Dikteta asingekosolewa...
1 Reactions
Replies
Views
Hivi huu mfumo wa vyama vingi. Asingekuwa mwalimu na lile vuguvugu la mageuzi miaka ile ya tisini na mbili. Hivi ukiangalia kwa viongozi tuliona nao sasa wangeruhusu mfumo wa vyama vingi kweli...
0 Reactions
2 Replies
491 Views
SAHARA ENERGY IN TROUBLE FOR SUPPLYING CONTAMINATED OIL IN TANZANIA AND CAUSING PLANE CRASHES IN WEST AFRICA The government of Tanzania has suspended the supplier of the contaminated jet fuel and...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Imekuwa kawaida kwa sasa kusikia polisi wanamsaka mwana siasa, mbunge au hata mchambuzi yeyote ambaye wanaona wana haja ya kufanya hivyo. Sijui ni maagizo kutoka juu?? Kama siyo maagizo, haya...
10 Reactions
73 Replies
7K Views
Wandugu kuna hizi tetesi, Serikali inajipanga sasa kupeleka Muswada wa fao la kujitoa bungeni. Hii issue ni serious sana kwa sasa na inagusa maisha ya watu wa chini kabisa. Mtazamo wangu kwenye...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Kweli mheshimiwa Rais bado una kazi ngumu kuisimamia serikali yako, bado kuna watendaji wanafanya kazi kwa mazoea kila wanapopata mwanya wanapenyeza vidole kutaka wachomoe chochote kilichomo. Embu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom