Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
BAVICHA mkoa wa kilimanjaro,tunalaani kitendo cha polisi,kuvamia eneo la kufanyia mahafali ya CHASO Kilimanjaro(keys hotel) na kuzuia mahafali isifanyike bila sababu za msingi.Polisi,waweshindwa kueleza sababu za msingi za kuzuia.Hatua hii ya polisi inakiuka misingi ya demokrasia,inakiuka katiba ya nchi na sheria ya vyama vya siasa.TAIFA linaendeshwa kidikteta chini ya himaya ya polisi.Haikubaliki.
KIBONA DICKSON
MWENYEKITI BAVICHA KILIMANJARO
KIBONA DICKSON
MWENYEKITI BAVICHA KILIMANJARO