maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Kweli mheshimiwa Rais bado una kazi ngumu kuisimamia serikali yako, bado kuna watendaji wanafanya kazi kwa mazoea kila wanapopata mwanya wanapenyeza vidole kutaka wachomoe chochote kilichomo.
Embu icheki barabara hii ya mtaa wa Kabuhoro karibu na shule ya msingi Kirumba walivyoitengenezea mitaro na mifereji ya hovyo na kichekesho zaidi ni kwenye kumwaga kifusi, yaani wamenyunyizia udongo mwekundu wakasawazisha basi ndiyo imetoka hiyo, jamani mtonyeni John Mongela awawahi kabla hawajagawana hii pesa waimalizie hii barabara.