samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,212
Wandugu kuna hizi tetesi, Serikali inajipanga sasa kupeleka Muswada wa fao la kujitoa bungeni.
Hii issue ni serious sana kwa sasa na inagusa maisha ya watu wa chini kabisa.
Mtazamo wangu kwenye hili suala kama litaenda bungeni basi tutakuwa tumeumia maana wote tunafahamu ni kina nani wapo pale bungeni kwa sasa, ssiamini kama wabunge wa CCM wanaweza kusimama katika hili na kutetea watanzania wengi watakaoguswa na hili.
My take: Mh Mbowe,Lissu ZZK na kila mwanasiasa mzalendo wasaidieni watanzania Katika hili kwa sasa kwa kuanza kupaza sauti sasa vinginevyo watu wengi wataumia kwenye hili maana hii inaonekana ni dhulma ya wazi kwa sasa.
Mods nawaomba chonde chonde huu uzi msiuunganishe na uzi mwingine wa miaka ya nyuma kwani hii ni 2016 na publication hili suala ni hot kwa sasa sauti zinatakiwa zipazwe ili taifa lijue hili suala linawagusa watanzania wengi.