Baada ya Marekani Maalim Seif sasa atinga Canada

KIGWANYA

Member
Apr 14, 2016
81
103
Leo Maalim Seif amekamilisha ziara yake marekani na sasa anaelekea canada. Ziara hiyo ina nia pia ya kupeleka ujumbe kwa jumuiya za kimataifa kuhusu hali ya democrasia zanzibar na tanzania kwa ujumla hasa hasa uchaguzi uliofanywa octoba mwaka jana ambapo anadai kuporwa ushindi wake.

Swali ni je atafanikiwa katika juhudi zake hizi? Tusubiri wakati utasema.
 
Leo maalim seif amekamilisha ziara yake marekani na sasa anaelekea canada. Ziara hiyo ina nia pia ya kupeleka ujumbe kwa jumuiya za kimataifa kuhusu hali ya democrasia zanzibar na tanzania kwa ujumla hasa hasa uchaguzi uliofanywa octoba mwaka jana ambapo anadai kuporwa ushindi wake.
swali ni je atafanikiwa katika juhudi zake hizi?
tusubiri wakati utasema.
Kwa maoni yako ktk ziara anayomaliza huko marekani amefanikiwa au la?
 
Back
Top Bottom