Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,284
Bei elekezi ya sukari tsh 1800/= lakini mitaani watu wanunua sukari hadi tsh 4000/=
Haya ndio madhara ya bei elekezi kutolewa na mtu ambaye sukari anayotumia kila siku katika familia yake ananunuliwa na serikali kwa fedha za umma.
Bunge sasa lazima liwe upande wa wananchi katika kipindi hichi ambacho serikali haieleweki. Kipindi ambacho serikali inashindwa kuratibu bei ya sukari inavyo takikana.
Dotto Rangimoto Chamchua.
call/whats 0622845394 Morogoro