OGTV
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 353
- 167
Pamoja na kuitwa na kuhojiwa ikiwa ni pamoja na kuwasilisha vielelezo vyake kwenye Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea amemuandikia Katibu wa Bunge barua ya kumshtaki Naibu Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson Mwansasu kwenye Kamati ya Kanuni za Bunge.