Mahafali ya CCM yalifanyika, ya CHADEMA yakasambalatishwa

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
KILICHOSHANGAZA TANZANIA KUWA GRADUATION YA WANAFUNZI WA UDSM CCM HAIKUSAMBALATISHWA NA POLISI.
MGENI RASMI ALIKUWA JK.
ILA YA WANAFUNZI WA UDOM CHADEMA ILISAMBALATISHWA NA KUITWA MKUTANO.

VS
 
Kwani yale ya Karimjee alohudhuria Lowassa kama mgeni rasmi hayakuwa mahafali? Au chadema iko dodoma tu?
 
Itafika muda itakuwa "No thieves,no traitors,no interventionists!This time the revolution is for real"
Haka katanzania daaa!
 
Back
Top Bottom