Naogopa sana huku tunakoelekea kama upepo ukibadilika

Zapa RadioFm

Senior Member
Feb 12, 2016
112
171
Imekuwa kawaida kwa sasa kusikia polisi wanamsaka mwana siasa, mbunge au hata mchambuzi yeyote ambaye wanaona wana haja ya kufanya hivyo.

Sijui ni maagizo kutoka juu?? Kama siyo maagizo, haya yanatokea kwa AMRI ya nani? Sijui ndiyo Mfumo mpya wa kuendesha nchi yetu?? Sijui ndiyo MABADILIKO tuliyo yahitaji?? Sijui ni aina mpya ya uongozi?? Au labda ni haki kwamba kila kitu kiungwe mkono na wananchi??

Hatari ninayo iona hapa ni kwamba Jeshi la Polisi limekuwa likihusishwa sana katika shughuli za kisiasa. Jeshi la polisi limekuwa likitajwa sana "kuzima" harakati za vyama vya upinzani. Jeshi hilo hilo la polisi kwa mara kadhaa limekuwa likijipambanua kwa "kusema" kuwa linatenda haki, linasimamia katiba ya nchi na pia linalinda amani.

Kuna matukio mbalimbali na hasa ya kisiasa yanayo CHAFUA taswira nzima ya jeshi hili na pia kuchafua maana ya uwepo wa vyama vya siasa vya upinzani kama inavyo tajwa katika sheria namba 5 ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.

Shughuli za vyama vya siasa hasa mikutano na mikusanyiko imepigwa MARUFUKU kinyume kabisa na ibara ya 18 ya katiba ya Tanzania (uhuru wa maoni). Ukiuliza utajibiwa ni "INTELIGENCY" ya polisi imegundua kuna hatari ya Usalama au uchochezi!

Lakini tutumie akili KUHOJI, hivi intelligency inafanya kazi kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?? Katazo la polisi liliwabagua wana CCM walio andamana siku chache zilizopita kutoka MAHINA mpaka Ofisi ya CCM ya Wilaya kule MWANZA! Yaani CCM ni chama cha siasa ambacho HAKIGUSWI na sheria hizi?? Wao wana ruhusa au uhalali gani dhidi ya wengine??

Wengi tulidhani ni CHADEMA peke yao wamekatazwa kufanya shughuli za kisiasa, La haula! Hata ACT WAZALENDO, Chama ambacho hata hakina miaka 3 kwenye siasa za nchi hii! Serikali inaogopa nini?? Hii serikali ni "TUKUFU, YA HAKI, SAFI NA TENA YA WANYONGE", sasa kwanini iwabane wapinzani kiasi hiki??

Polisi kwa sasa wana tajwa sana katika medani za siasa. Na hiyo ndiyo hofu yangu kubwa katika taifa hili la kidemokrasia na amani. Kwa mfano, Zitto Kabwe kiongozi mkuu wa ACT WAZALENDO kwa sasa anahojiwa na polisi kwa kudaiwa kutoa lugha isiyo faa! Wapinzani WAKAVUMILIA!

Polisi pia imetangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima,(lakini ya CCM inafanyika). Wapinzani pia katika suala hili lenye maumivu kwao nalo WAKAVUMILIA!

Lakini pia polisi wakazuia mikutano yote ya ACT WAZALENDO ya ndani ya kujadili bajeti ya Serikali ya Magufuli! Hili nalo wapinzani wakaona isiwe shida WAKAVUMILIA!

Polisi pia leo wamewafukuza wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) waliohudhuria mahafali ya chama chao!

Taarifa zinasema kwamba kibali hakikuwepo wala hakukuwa na taarifa polisi juu ya kukutana kwa wanafunzi hao katika mahafali hiyo! Mkoa wa Iringa leo kulikuwa na mahafali ya wana vyuo, sijui kama kibali kilikuwepo, najaribu kuwaza kama kule Mwanza wana Ccm waliandamana bila kibali, sijui katika mahafali ya wana vyuo vikuu wa Ccm Iringa! Hili nalo tunategemea kabisa kwamba wapinzani WATAVUMILIA!

Katika Mkutano wa kigoda cha Mwalimu Nyerere, Jenerali Ulimwengu Mzalendo alisema mengi pamoja na hayo akasema Rais mstaafu wa awamu ya anapaswa kushtakiwa! Kauli hiyo imeonekana kuwa ya kichochezi na ina UKAKASI mkubwa! Haikupita muda aliitwa polisi, sijui alihojiwa kuhusu nini! Katika hili wakosoaji wanatakiwa KUVUMILIA!

Tafsiri ya haya yote ni kwamba kuna kila dalili hali ya hewa ikawa mbaya kama serikali haita sahihisha kosa hili. "Utelezi" huu unaweza kuifanya serikali ionekane mbaya, viashiria vya utawala wa kidikteta au ya mabavu hata kama inatenda kwa malengo mema ya kuepusha vurugu.

Nasema hivi kwa sababu, mpaka sasa imeonekana AMRI tu zinatawala juu ya haki za msingi za raia na vyama vyao. Maana yake ni kwamba IKITOKEA vyama hivi vikatafuta "MBINU MBADALA" au vikiamua kufanya "UJINGA" na kuhamasisha "UPEPO" huu kubadilika, nchi itapasuka!

NAIOMBA SERIKALI hii inayo jiita ya wanyonge, itazame upya mbinu za kukabiliana na wapinzani. Serikali ikae na vyama vyote waangalie namna ya kuendesha nchi, uchaguzi ulisha pita na sasa ni wakati wa kujenga nchi lakini naona taratibu nchi ina pasuliwa, siasa ni imani TUSICHEZE na imani za watu. Haki ni TAKWA LA LAZIMA.

NB: Katika uvumilivu kuna kipimo na Kuna ukomo wa KUVUMILIA. Hatari zaidi ni kikomo cha uvumilivu kikifika popote duniani! Hawa wanao vumilia kwa sasa wakichoka ni hatari zaidi ya walivyo sasa. Serikali iwasikilize, ijisahihishe nchi isonge mbele. Nimeonya kwa upendo, NCHI KWANZA, VYAMA BAADAE, AMANI YETU NI MUHIMU KULIKO CHAMA CHOCHOTE.

"Caytano Maytano"
Charles Francis M.
 
Acha vyombo vya ulinzi na usalama viwajibike...amani ya Watanzani ni muhimu kuliko hiyo mikusanyiko yenu iliyojaa kelele
 
Maneno meeeeeengi.
Si useme tu JPM kawazidi, yaani saivi mnajilengesha ili mpigwe.

Ni sawa na kujilaza relini ukiamini treni litasimama
 
naomba polisi wajue wajibu wao kwann wanaingia kwenye siasa.uliyeandika makala hii ni kwel lkn kuna watakaopinga tu sababu ya ufinyo wa akili zao ambao ni kenge
 
Tumia akili kidogo tu hata za kuzaliwa ukiona Askari wetu wanakutafuta ujue ni kwamba walishakwambia uripoti kwao na ukapuuzia ndiyo maana wanakutafuta laiti kama ungetii walivyokutaka kufanya wala wasingekutafuta na isitoshe wote wanaofikishwa/kujisalimisha kwa Askari wetu huishia kushitakiwa na kupelekwa Mahakamani hivyo kama ukishitakiwa ina maana umefanya kosa na hilo kosa utajitetea Mahakamani rahisi kihivyo tu, wala kulikuwa hakuna haja ya kuandika yote hayo ni swala rahisi sana, kwamba kama ukisakwa ina maana umekaidi takwa la kujisalimisha!
 
Acha vyombo vya ulinzi na usalama viwajibike...amani ya Watanzani ni muhimu kuliko hiyo mikusanyiko yenu iliyojaa kelele
Mkuu, tulicho nacho nchi hii ni hali ya utulivu wa kisiasa unaotokana woga/uvumilivu wa watanzania, siyo amani. Amani ni tunda la haki. Kama haki inatendeka/inaonekana ikitendeka kwa nini mikusanyiko ya watu iwepo na iwatie hofu watawala? Mikusanyiko inaweza kufanyika kwa sababu kadhaa na moja wapo ni kufuatilia haki ambayo ikitoweka inatoweka na amani.

Tueaombe watawala waache kutumia polisi kwa masilahi ya kisiasa. Watende haki wa watu wote na makundi yote.
 
naomba polisi wajue wajibu wao kwann wanaingia kwenye siasa.uliyeandika makala hii ni kwel lkn kuna watakaopinga tu sababu ya ufinyo wa akili zao ambao ni kenge
Katiba yetu inakataza majeshi yetu kuingia katika ushabiki na ushawishi wa vyama.
IGP Mangu ameamua jeshi li polisi liwe wafuasi wa CCM bila woga wala aibu.
Nasubiri siku Gen Mwamunyange naye aje aliamuru jeshi letu la wananchi wawe washabiki na wafuasi wa chama kingine cha siasa labda hapo ndio tuta balance mambo.
Viongozi wetu wanashindwa kujifunza hata ya juzi tuu Misri?
 
Back
Top Bottom